Utakasishaji wa Fedha Haramu (Money Laundering) ni Nini?
Utakasishaji wa Fedha Haramu ni shughuli au vitendo vyenye lengo la kuficha ukweli au asili ya fedha au mali iliyotokana na uhalifu.